BALOZI MAHMOUD KOMBO AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA KWA FARAGHA NA BABA MTAKATIFU LEO XIV MJINI VATICAN
Автор: JUVE MEDIA
Загружено: 2026-01-28
Просмотров: 3348
Описание: Balozi Mahmoud Thabit Kombo Mbunge na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Jumatano tarehe 28 Januari 2026 amekutana na kuzungumza kwa faragha na Baba Mtakatifu Leo XIV mjini Vatican na baadaye kuhudhuria Katekesi ya Papa Leo XVI kuhusu Nyaraka za Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican. Nyaraka na Ujumbe wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania unachota amana na utajiri wake katika Biblia na Mafundisho Tanzu ya Kanisa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: