AIC INJILI CHOIR, NGUDU - ULIMI (Official Video)
Автор: Next Level eXtra
Загружено: 2020-07-09
Просмотров: 189277
Описание:
#gospel songs, #nyimbo za injili, #gospel mix, #gospel music
Kumsifu Mungu kunawapasa wanyofu wa Moyo. Tutamsifu Mungu kwa kila hali, kwa vinanda, vinubi, kwa matari na Michezo. Kucheza mbele za Mungu ni kumrudishia sifa kwa yale yote makuu aliyoyatenda maishani mwetu.
Kila sifa njema yafaa mbele za Mungu.
Barikiwa kila unapoangalia na kusikiliza ujumbe huu, Mungu wa mbinguni azidi kukubariki.
Usiache kulike,share pia kusubscribe. Mazuri yanakuja usipitwe. Ulimi ni kiungo kidogo sana, lakini madhara yake ni makubwa sana. Kwa ulimi unaweza kubariki, na kwa ulimi huohuo waweza kulaani na kuangamiza.
Kuwa makini sana na unavyoutumia ulimi wako.
#Ulimi. #Aic Ngudu #
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: