Mafunzo ya Wafanyakazi Mahususi wa Reli wanaohusika na uendeshaji wa Treni ya Kisasa (SGR)
Автор: LatraTV
Загружено: 2026-03-03
Просмотров: 58
Описание: Mha. Hanya Mbawala, Mkurugenzi wa Udhibiti Usafiri wa Reli wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), leo Februari 23, 2026, ameongoza mafunzo kwa Wafanyakazi Mahususi wa Reli (Safety Critical Workers) wanaohusika na uendeshaji wa treni za Reli ya Kisasa (SGR) za Shirika la Reli Tanzania (TRC) yaliyofanyika Stesheni ya Samia Suluhu Hassan Dodoma.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: