UFUGAJI WA KUKU:Jinsi ya kuaandaa chakula cha kuku na mifugo wengine.
Автор: MKULIMA SMART TV
Загружено: 2021-01-29
Просмотров: 11261
Описание:
UFUGAJI WA KUKU:Jinsi ya kuaandaa chakula cha kuku na mifugo wengine
JINSI YA KUJITENGENEZA CHAKULA CHA KUKU NYUMBANI KWA AJILI YA KUONGEZA UZALISHAJI
#mkulimasmart
#shambadarasa
34 kg Mahindi
12 kg Soya beans
8 kg Dagaa
10 kg pumba za mahindi
6 kg Chokaa (kwa ajili ya calcium)
Jinsi ya kutengeneza chakula(70kg) kwa ajili ya kuku wa nyama
Mahindi= 40 kg
Dagaa = 12 kg
Maharage ya soya = 14 kg
Chokaa = 4 kg
NB : Hakikisha unaongeza chumvi 250g katika kila mfuko wa 70kg wa chakula chako
Ndondoo muhimu ya jinsi ya kuwalisha kuku wako Nyumbani.
ufugaji wa kuku wa nyama
ufugaji wa kuku kuroiler
ufugaji wa kuku chotara pdf
ufugaji wa kuku chotara
ufugaji wa kuku jamii forum
ufugaji wa kuku wa kienyeji wenye tija
ufugaji wa kuku katika eneo dogo
ufugaji wa kuku 2021
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: