"SHANI NA BARAKA: UPENDO ULIOZALIWA KATIKATI YA MAUMIVU MAKALI"
Автор: ACLmedia TV
Загружено: 2025-08-09
Просмотров: 768
Описание:
Katika safari ya NDOA, Kila mwanandoa anandoto za maisha yenye Amani na furaha.Lakini je, Nini hutokea pale mtoto anapokua na changamoto za malezi kuibua migogoro isiyoisha?
Hii ni hadithi ya Shani na baraka- kutoka Mapenzi ya mwanzo, furaha ya kupata mtoto, hadi maumivu ya migogoro ya kifamilia.Ni Simulizi ya MAISHA halisi inayogusa moyo, yenye funzo Kwa Kila mmoja wetu
Tazama hadi mwisho tujifunze kuwa SI Kila NDOA inayovutia Kwa nje Ina amani ndani yake..... na kwamba malezi ni mtihani unaohitaji upendo, uvumilivu na mawasiliano. #inspiringstory #2025 #aclmedia #shaninabaraka, #maleziyamtoto,#familia #Funzolamaisha#Dramazakiswahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: