🔴
Автор: Mwenge SDA Church
Загружено: 2025-06-08
Просмотров: 2476
Описание:
#IbadayaNdoatakatifu
#frankkusaga
#ibadayandoatakatifu
Karibu kufuatilia Mubashara (live) Ibada ya Ndoa Baina ya Deogratius Tesha na Rachel Jackson itakayofungwa tarehe 08 Juni 2025
#Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji. Rahisi Mande +255 677 048 049
Kama una ushauri au malalamiko kuhusiana matangazo yetu karibu kuwasiliana nasi kwa simu, meseji au WhatsApp kwa namba +255 767 242 396 au barua pepe [email protected] au [email protected]
SADAKA YA MAJENGO
Unaweza pia kutoa SADAKA ya MAJENGO kupitia Mpesa, LIPA namba: 5786348 , Jina: MWENGE SDA CHURCH (MAJENGO), kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 757 579 301 (Mhazini wa Kanisa- Elijah Pesambili).
SADAKA ya MAJENGO:
CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 501, Jina: SDA Church Mwenge MAJENGO, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 757 579 301 (Mhazini wa Kanisa- Elijah Pesambili).
ZAKA & SADAKA Unaweza pia kutoa ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia Mpesa, LIPA namba: 5810262 , Jina: MWENGE SDA CHURCH, kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 757 579 301 (Mhazini wa Kanisa- Elijah Pesambili).
Unaweza kutoa pia ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 500, Jina la Account: SDA Church Mwenge, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 757 579 301 (Mhazini wa Kanisa- Elijah Pesambili). Mungu akubariki.
Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: https://bit.ly/SUBSCRIBE-Now, watumie na marafiki pia.
Karibu pia kutembelea, ku-follow, ku-Like na ku-Comment kwenye:
Tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz
Facebook Page: Mwenge SDA Church Live
Instagram: mwengesdachurchlive
Mungu akubariki.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: