MAZITO: Juma Lokole Afichua Siri ya Wasafi Media Kuuzwa na Watangazaji Kufukuzwa!
Автор: BONGO VIBE
Загружено: 2026-02-01
Просмотров: 17005
Описание:
MAZITO! Kimeumana Wasafi Media baada ya mchambuzi maarufu Juma Lokole kufunguka mazito na kufichua siri za ndani kuhusu hatma ya kampuni hiyo. Je, ni kweli Wasafi Media inauzwa? Na kwanini kuna tetesi za watangazaji kufukuzwa kazi ghafla?
Katika video hii, tunachambua kila kitu alichokisema Juma Lokole kuhusu maamuzi mapya ya Diamond Platnumz na mabadiliko makubwa yanayotokea ndani ya Wasafi FM na Wasafi TV leo. Usikubali kupitwa na ukweli huu wa kushtua kuhusu mastaa unaowapenda na mustakabali wa vyombo vya habari nchini Tanzania.
Kwenye Video Hii Utajua:
Siri ya Diamond Platnumz kuamua kuuza Wasafi Media (Tetesi).
Orodha ya watangazaji wanaodaiwa kuachishwa kazi.
Kauli ya Juma Lokole iliyozua balaa zito mtandaoni.
Usisahau KU-SUBSCRIBE, Like, na Ku-comment maoni yako hapa chini! Je, unadhani Wasafi itabaki kuwa namba moja bila watangazaji hawa?
#WasafiMedia #DiamondPlatnumz #JumaLokole #BongoFlava #Udaku #WasafiFM #Zuchu #TanzaniaNews #WasafiTV #GlobalPublishers
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: