MWONGOZO MAALUMU WA CHANJO ZA KUKU | Kinga ya Uhakika kwa Kila Mfugaji
Автор: KingoFarm
Загружено: 2025-12-11
Просмотров: 2191
Описание:
Karibu kwenye KingoFarm!
Hapa nakupa Mwongozo Maalumu wa Chanjo za Kuku—ratiba sahihi, aina ya chanjo, jinsi ya kuzitoa, na muda muafaka wa kuzitoa ili kulinda kuku wako dhidi ya magonjwa hatari kama Mdondo, Gumboro, Ndunguru, Mafua na Kasumba.
Katika video hii utajifunza:
🐥 Chanjo za kuanzia siku ya 1 hadi kuku wanapoanza kutaga
💉 Namna sahihi ya kuandaa na kutoa chanjo
🛡️ Jinsi ya kuongeza kinga ya mwili kwa vifaranga
⏰ Ratiba kamili ya chanjo za miezi 1–5
⚠️ Makosa yanayofanywa na wafugaji wengi kuhusu chanjo
🔥 Mbinu za kuongeza ufanisi wa chanjo
Kufuata mwongozo huu kutakusaidia kupunguza vifo, kuongeza uzalishaji, na kupata faida kubwa kwenye ufugaji wako.
---
📚 Vitabu vya KingoFarm Vinavyopatikana:
Tiba za Asili kwa Kuku
Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji
Safari ya Ufugaji
Ufugaji wa Broiler Kitaalamu
Wasiliana: 0712188239
---
👉 Usisahau
Like 👍
Comment 💬
Share ↗️
Subscribe kwa video zaidi za tiba asilia na ufugaji bora 🐓🔥
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: