KIGINGI KWA WAHAMIAJI HARAMU: VIPENYO 1,777 VYADHIBITIWA, KATAMBI ATOA NENO
Автор: TMC NEWS TV
Загружено: 2026-01-30
Просмотров: 33
Описание:
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Patrobas Katambi amesema Serikali kupitia Idara ya Uhamiaji imefanikiwa kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu kwa kufunga vipenyo 1,777 vilivyokuwa vinatumika kuingia nchini kwa njia isiyo halali katika maeneo mbalimbali. Kauli hiyo imetolewa wakati wa ziara yake ya kwanza katika Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji jijini Dodoma tangu ateuliwe na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ziara hiyo ilihudhuriwa pia na Naibu Waziri Ayoub Mohamed Mahmoud pamoja na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala, ambapo viongozi hao walipata fursa ya kuzungumza na watumishi wa idara hiyo kuhusu ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi.
#Katambi
#WizaraYaMamboYaNdani
#IdaraYaUhamiaji
#UlinziWaMipaka
#UsalamaWaNchi
#WahamiajiHaramu
#Dodoma
#SerikaliYaAwamuYaSita
#SamiaSuluhuHassan
#KaziInaendelea
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: