Dkt. Samia ataka mahakama iwe msingi wa haki, amani
Автор: Fadeco Online Media
Загружено: 2026-01-13
Просмотров: 3
Описание:
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema wakati Taifa likielekea katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya 2050, muhimili wa mahakama una nafasi muhimu ya kujenga Taifa lenye haki, amani, usalama na utulivu.
Dkt. Samia ameeleza hayo leo, Januari 13, 2026 wakati akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa siku mbili wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA), uliofanyika viwanja vya makao makuu ya Mahakama jijini Dodoma.
Amesema Dira ya Taifa ya 2050, imejengwa juu ya misingi ya utawala bora, amani, usalama na utulivu na imefafanua kuwa utawala bora na utawala wa sheria ni msingi wa maendeleo endelevu.
“Jambo hili haliwezekani pasipo kuwepo na mahakama imara na iliyoaminika na wananchi wake, na Serikali tunaeleekea kujenga mahakama hiyo,” amesema.
Kwa mujibu wa Rais Samia, ili kufikia azma hiyo, Serikali ilipitisha mpango wa muda mrefu wa utekelezaji wa dira hiyo, akisema ndani yake asilimia 22 ya mambo yafanywa na Serikali huku asilimia 70 yatafanywa na sekta bin
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: