🔴
Автор: BW MEDIA
Загружено: 2026-01-23
Просмотров: 362
Описание:
Karibu BW Media Mubashara katika Ibada Maalum ya Siku ya Uhuru wa Kidini 2026, ikitoka moja kwa moja Southern Corridor Field, Mtwara – Tanzania.
Ibada hii maalum inalenga kuadhimisha Uhuru wa Kidini kwa kumuabudu Mungu kwa amani, umoja, na shukrani, huku ikikusanya waumini na wadau kutoka maeneo mbalimbali. Tunakuja pamoja kumsifu Mungu, kusikiliza Neno, na kuombea Taifa letu na jamii kwa ujumla.
#BWMediaLive
#IbadaMaalum
#UhuruWaKidini2026
#MtwaraLive
#SouthernCorridorField
#InjiliMubashara
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: