CHIEF GODLOVE AMLILIA MTOTO ALIYEUAWA NA WATU WASIOJULIKANA, AAPA KUPAMBANIA HAKI YAKE.
Автор: MACHINGA TV
Загружено: 2024-12-26
Просмотров: 7753
Описание:
Mwanamitandao maarufu nchini, Tajiri Chief Godlove, ameonyesha majonzi makubwa kufuatia kifo cha kikatili cha mtoto Gerson wa Dodoma. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Chief Godlove amesimulia jinsi mtoto Gerson alivyokuwa kipenzi chake na amelaani vikali ukatili huo.
Katika video hii, tunakuletea maoni na hisia zake, ambapo ameapa kuhakikisha haki inapatikana kwa mtoto huyo asiye na hatia. Chief Godlove ametoa wito kwa vyombo vya sheria kuchukua hatua na kuwaonya waliohusika kuwa hawatapata amani.
#Mwandishi: John Mwonga
Tazama video hii na ungana nasi katika kutafuta haki kwa mtoto Gerson. Usisahau ku-like, ku-share, na ku-subscribe kwa habari zaidi.
#ChiefGodlove #JusticeForGerson #HabariZaHiviPunde
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: