UNAHANGAIKA KUPATA MTOTO? PROLACTIN INAWEZA KUWA SABABU YA KUTOPATA
Автор: Kahibi Bernard
Загружено: 2026-02-15
Просмотров: 411
Описание:
Unahangaika kupata mtoto bila mafanikio? Huenda sababu ikiwa homoni ya prolactin!
Katika video hii, tunakueleza:
Dalili za prolactin juu zisizojulikana
Jinsi prolactin inavyoweza kuathiri uzazi
Suluhisho na hatua za kuchukua ili kurekebisha kiwango cha prolactin
Usisubiri! Fahamu afya yako ya uzazi mapema na chukua hatua!
Usisahau like, comment, na subscribe ili kupata elimu zaidi kuhusu afya ya wanawake.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: