DC TEMEKE KUPAMBANA NA MADANGURO NA WAVUTA BANGI
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2020-02-25
Просмотров: 135
Описание:
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva amesema wilaya hiyo imeanza kudhibiti madanguro na biashara ya ukahaba kwa kuandaa mahakama inayotembea (mobile cort).
Amesema kupitia mahakama hiyo watuhumiwa wakikamatwa, wanafikishwa mahakamani na kuhukumiwa wakati huo huo.
Lyaniva amesema hayo leo Februari 25,2020 wakati akizungumza kwenye kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es Salaam (RCC).
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: