AUWAWA NA TEMBO WILAYANI KOROGWE, CCM TANGA YAWAFARIJI WAFIWA
Автор: AMASHI TV
Загружено: 2023-06-09
Просмотров: 864
Описание: Ikiwa ni siku chache zimepita toka mwananchi mwenzao Husna Khamis (27) kuuwawa kwa kushambuliwa na tembo, Wananchi wa Kijiji cha Kijungumoto kilichopo kata ya Mashewa halmashauri ya wilaya ya Korogwe wamemuomba mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Rajab Abdulrahman Abdallah kuwasaidia kupaza sauti kwenye mamlaka za juu ili waweze kuondoshewa changamoto ya kuvamiwa na tembo ambao pia wanaharibu mazao ikiwemo mkonge.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: