Ubongo Kids Webisode 49 - Kutengeneza Msimbo | Katuni za Elimu kwa Kiswahili
Автор: Ubongo Kids Kiswahili
Загружено: 2017-12-15
Просмотров: 742056
Описание:
Jamani, kila mtu anaweza kujifunza kutengeneza msimbo! Katika hii episode ya Ubongo Kids utaona jinsi watoto wa Kokotoa watajifunza kutengeneza msimbo na kufumbua migogoro!
Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA!
Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani!
Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!
Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi.
Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi!
Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!
Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: http://www.ubongokids.com
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: