SIMULIZI MPYA - BINTI SUNDI
Автор: Ankojay Simulizi
Загружено: 2023-10-05
Просмотров: 79886
Описание: Ndoa ni jumba lililo na pande mbili yaani nje na ndani.Aliye nje anatamani kuingia ndani na walio ndani wapo wanaofurahia kubakia na kutotamani kutoka nje lakini wengine kwao kama jehanamu wanatamani kutoka na waliotoka hawataki kurudi tena na wengine waliotoka kwa uzembe wao huenda kwa watalamu kuwapa dawa ambazo huwarudisha ndani.Vile vile wapo walio nje ambao wanatamani kuingia ndani lakini bahati hiyo hawana.Nao huangaika kwa waganga wa kienyeji au makanisani kuombewa ili nao waingie ndani na ndiyo nikasema ndoa inamitazamo miwili nje na ndani Ili kuyajua yote unagana na mtunzi mahiri ALLY MBETU
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: