BUNDI ALIYETUA DIRISHANI ZNZ KABEBA KARATASI YENYE MAJINA
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-10-18
Просмотров: 756726
Описание: Moja ya matukio yalio-trend Zanzibar ni pamoja na hii ya Bundi aliyetua kwenye dirisha maeneo ya Meli Nne na baadae kushindwa kuruka ambapo Watu walimshika na kumkuta na karatasi yenye majina ya Watu, AyoTV imefika mpaka eneo la tukio na kuzungumza na Mtu wa kwanza aliyemuona Bundi huyo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: