Nina Safiri by Parapanda Choir Sayuni (Official Music Video)
Автор: Parapanda Choir
Загружено: 2025-04-29
Просмотров: 5964
Описание:
Nina Safiri ni wimbo wa Parapanda Choir ya Kanisa Sayuni Kadutu
Lipatikanalo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo/DRC
mjini Bukavu katika mata wa Kadutu. hii ni kwaya ya mdaa sana na ni Choir Mama ya Choir zote kutoka mashariki mwa Inch hii ya congo.
imejizolea umaarufu mwingi na mkubwa kutokana na nyimbo zao nyingi na kubwa zilizobeba ujumbe wa Wokovu, Matumaini,Faradja,Neema, Utukufu na ukubwa wa Mungu ,Baraka na zaidi sAFARI YA KWENDA mbinguni. kupitia nyimbo zao wamejizolea mashabiki wengi walio ndani na inse ya dini, wa kripto na wasi wa kripto pia. mfano ni wimbo kama: BINJI BINJI (Vitu vingo ama moenda vingi) huu ni wimbo unaongelea historia ya maisha ya Walid wengi lakini pia fundo lake ni kuusu Mfalme Sulemani aliposema kwamba zaidi ya yote ni Ubatili tu na kuonuyesha kwamba Mungu ndie Vyote. wimbo mwingine ni Parapanda (parapanda italia. huu ni limbo mkubwa sio tu kwa choir parapanda ama kwa mij wa bukavu bali ni limbo wa kimataifa manna ndio wimbo uliofanya hadi hii choir kubadilishwa JINA na wapenzi wake na kuanza kuitwa Parapanda Hadi parapanda Choir. Parapanda ni wimbo uliotikisa zaidi miaka ya nyuma na hadi sasa hakujawahi kuwa Wimbo wa choir ambao umeweza kufunika Rikodi ya wimbo huu, mashariki mwa Congo na diaspora. Parapanda choir ina historia ndefu na Kubwa yenye Mafunzo mengi na hadi 2023 choir hii ilipotimiza miaka 60 ya uwepo wao ndani ya huduma ya Neno la Mungu kupitia nyimbo na matendo. hii ni historia (summary) ya choir hii. ila tuna tamani ifike siku tutawaletea pia Documentary ya Choir hii toka Mwanzo hadi miaka 60 ya uwepo na huduma. ambapo watu watajua kwa kina zaidi kursu Watumishi wa Mungu Hawa.
Hii Imeandikwa na Social Media manager wa Choir.
ahsante kwa kusoma na kwa support yako kubwa pia
Mungu akubariki.
@B2 Benz Classic
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: