KILIMO CHA PILIPILI MBUZI YA NJANO MBEGU CHOTARA YA LOLEZA F1 KUTOKA Rijk Zwaan Tanzania
Автор: Shamba Darasa TV
Загружено: 2022-01-21
Просмотров: 1442
Описание:
KILIMO CHA PILIPILI MBUZI & MWENDOKASI MBEGU ya loleza f1 kutoka rijk zwaan
Tafuta mbegu bora iliyoandaliwa kitaalamu KWA MBEGU YA PILIPILI ...
KILIMO BORA CHA PILIPILI MBUZI
kilimo cha pilipili mwendokasi
kifahamu kilimo cha pilipili ya mwendokasi kinacho hitaji ...
Faida za kulima kilimo cha pilipli za kisasa au (mwendokasi)
Pata darasa la kilimo cha pilipili hoho
fahamu kuhusu kilimo hai cha pilipili mbuzi - Mkulima
KILIMO BORA CHA PILIPILI MBUZI. UTANGULIZI Pilipili mbuzi ni zao ambalo linaweza kulimwa kibiashara na kumpatia faida nzuri mkulima.
Kumwagilia kitalu cha Kabichi, Pilipili hoho na Pilipili mbuzi. Kupuliza sumu ya kuzuia wadudu waharibifu wasiharibu miche kitaluni. Pia ...
yafahamu magonjwa , wadudu wanaothiri kilimo cha pilipili ...
KILIMO BORA CHA PILIPILI MBUZI
pilipili mbuzi ya njano aina ya Loleza-RZ F1 iliyolimwa Kitopeni .
Iko kwenye hatua ya mavuno, ni pili pili
1.Plipili chotara yenye rangi ya njano ya kuvutia
2. Yenye harufu kali
3. Yenye kuvunwa kwa muda mrefu zaidi ya miezi sita
4. yenye bei nzuri sokoni .
#shambadarasa #mkulimasmart
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: