WAHAMIAJI HARAMU ZAIDI ya 800 WANASWA KAGERA - "VIONGOZI wa SIASA WAONYWA''....
Автор: Global TV Online
Загружено: 2025-07-04
Просмотров: 2654
Описание:
WAHAMIAJI HARAMU ZAIDI ya 800 WANASWA KAGERA - "VIONGOZI wa SIASA WAONYWA''....
Zaidi ya wahamiaji haramu 800 wamekamatwa katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Kagera ndani ya mwezi wa Juni na Julai 2025 na tayari wamerudishwa katika nchi zao za asili na wengine kuchukuliwa hatua za kisheria.
Akizungumza na waandishi wa habari Kamishna Msaidizi wa Uhamiaji Mkoa wa Kagera Petro Malima amessema wahamiaji hao wengi wao hutokea nchi jirani na huingia kwa njia zisizo rasmi.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: