#TBC1
Автор: TBConline
Загружено: 2022-08-30
Просмотров: 1438
Описание:
Katika kipindi hiki cha Wekeza Tanzania tunaangazia Juhudi za uwekezaji zinazofanywa na wazawa, ambapo wilayani MBOZI Mkoani SONGWE Alinanuswe Kabungo amewekeza kwenye kiwanda cha kuzalisha mafuta ya Alizeti yenye hadhi ya kimataifa.
Mtangazaji: Vumilia Mwasha
Mtayarishaji: Neligwa Mugittu
Mdhamini: Azania Bank
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: