WEMA WA MUNGU-Kwaya ya Mt. Jerome-Univeristy of Iringa (Official Gospel Video-HD)
Автор: TanganyikaProduction
Загружено: 2018-07-18
Просмотров: 141665
Описание:
Wimbo umetungwa na Ndg. N.Z.Blackman, kinanda kimechezwa na Anthony Komanya, ukiwa umerekodiwa na Studio ya St.Joseph Production iliyopo Parokia ya Mbeya Mjini na Video imefanywa na Tanganyika productions ikiongozwa na Director Laurent Ludovick, Paschal Kabonge, Kelvin Marandu na Fortune Shimanyi.
Huu ni moja kati ya nyimbo 10 zinazounda Album ya Pili ya Kwaya ya Mt.Jerome-Chuo Kikuu cha Iringa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: