Kazi irudi!
Автор: MTAANI RADIO
Загружено: 2026-02-05
Просмотров: 33
Описание: Vijana wa eneo la Jerusalem wameiomba serikali kuingilia kati na kurejesha mradi wa kuzoa na kutupa taka katika eneo hilo wakisema kuwa sehemu hiyo ilikuwa inawasaidia kupata mapato yao ya kila siku wakitaja kuwa tangu sehemu hiyo kufungwa miezi miwili iliyopita imekuwa vigumu kwao kukidhi mahitaji yao ya kila siku
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: