Rais Magufuli awasili Jijini Dar es Salaam kwa staili hii
Автор: Azam TV
Загружено: 2020-06-19
Просмотров: 2862
Описание:
Rais Magufuli amewasili jijini Dar es Salaam alitokea makao makuu Dodoma. Mara baada ya kuwasili, Rais Magufuli alikagua maendeleo ya ujenzi wa barabara za juu katika makutano ya Morogoro na Samnujoma - Ubungo na kukiri kufurahishwa na kazi nzuri inayoendelea.
#AzamTVUpdates
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: