Yucca - Halellujah (Official Music Video)
Автор: Yucca
Загружено: 2025-06-28
Просмотров: 11040
Описание:
follow yucca;
INSTAGRAM @yucca_93
FACEBOOK @yucca_93
TIKTOK @yucca_93
SNAPCHAT @yucca_yucca
SONG LYRICS
Verse 1
Kwenye mvua jua, kila hatua dua
Unanilinda i swear x2
Sio bahati na sibu bahati na sibu
Every thing I want unanijibu
We unanijibu
Oluwa god ,jah we ndo jibu
Jah we ndo jibu
Without I can’t go away
Go away
I don’t want to know where you’re
Ila najua unaishi
Every day kila time kila saaa
No body no body can dis me
I thank you Unanibariki bariki leo
Sio Kama Jana unanifariji fariji leo
Unanifungulia na ridhiki ridhiki leo
Hakuna kitu nakosa
Mikono juu unanitosha sha sha sha
Hallelujah
Amen amen
Hallelujah
Amen amen
Verse2
Sio kwamba na na na na
Najisifu sana na na na
Nimeokoka
Sio sandakalawe amina
Mseme bahati nimeokota
Amenipa god
Yaani sir god
Mnahenyeka
Amenipa god
Yaani sir god
Mnahenyeka why
Misuti ninyonge taiii
Nikeshe na kufurahiii
NImuimbie baba god
I don’t lie
I feel so shine
Acha tu nifurahiii
Nimuimbie baba god oooh
Yeah
I swear zamani zamani zamani jela
Namjua god oh japo mi Msela
Kanipa thamani naizidi hela ah
Anasa naiona jela
Sepa wanafki mi nasepa
Mkimaliza kuniteta
Kwa god mi nasepa aaaah
Hallelujah
Amen amen
Hallelujah
Amen amen
This Video Directed by @shydeezer
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: