GEITA DAY TWO: Kitu cha 'KungwiLao' Irene Mbowe, changamoto ipe muda - April 27 2019
Автор: FPCT Shalom Temple Kahama
Загружено: 2019-05-01
Просмотров: 430
Описание: Ni mwanamama mwenye watoto watatu, mjasiliamali, mhamasishaji, mwalimu na mshauri wa maswala ya ndoa, ni mkazi wa Arusha ametikisa sana kwenye mitandao yakijamii hasa facebook na Instagram kutokana na mafudisho yake, majina yake ni Iren Mbowe clip hapa akizungumza na wamama na mabinti wa Geita alipokuwa akifanya huduma na mchungaji wetu Sixberth Kuzenza, share ujumbe huu kwa wengine pia.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: