ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Mvua zasababisha Mlima Kawetere kumeguka Ujiuji wafunika nyumba 20 kata ya Itezi Jijini Mbeya

Автор: MbeyaYetuOnlineTV

Загружено: 2024-04-14

Просмотров: 102008

Описание: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde Juma Z. Homera amefika Mlima Kawetele uliopolomoka Alfajiri ya Leo na Kusababisha Kufukiwa kwa Nyumba 20, Ng'ombe Wanne na Kuharibika kwa Miundombinu ya Shule ya Generation katika Mtaa wa Gombe Kata ya Itezi Halmashauri ya Jiji la Mbeya.

Akizungumza baada Kuwasili eneo la Tukio RC Homera amekanusha Uvumi unaozagaa Mtandaoni ukidai Kuna Maafa katika tukio hilo ambapo amesema zaidi ya hivyo vilivyotajwa Aya ya Kwanza hakuna Madhara mengine Wala Maafa kama inavyoripotiwa na Baadhi ya Watu.

Aidha Homera ameiagiza Halmashauri ya Jiji la Mbeya kufanya Tathimini juu ya Waathirika hasa wale wasio na Malazi ya Kulala wahakikishe wanapatiwa Sehemu hizo wakati huu ambao Serikali inaendelea kupambana kuhakikisha Hali inakuwa Sawa katika Maeneo hayo.

Pia amekiagiza Kitengo Cha Ardhi Halmashauri ya Jiji la Mbeya kuacha kuwapimia Wananchi Viwanja eneo lenye Changamoto hasa ya Mkondo wa Maji kwa kufanya Kwao hivyo kutasababisha Matatizo kama hayo ambayo yangeweza kuzuilika.

Tukio hilo limetokea Alfajiri ya Kuamkia Leo ambapo chanzo Chake ni Mvua zinazoendelea Kunyesha Mfululizo na Matukio yanayofanana na haya yamekuwa yakitukia Mikoa Mbalimbali ikiwemo Mikoa ya Arusha na Lindi.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Mvua zasababisha Mlima Kawetere kumeguka Ujiuji wafunika nyumba 20 kata ya Itezi Jijini Mbeya

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Выйдет 3 кг каловых камней! Мягкая чистка кишечника дома (Стоит копейки).

Выйдет 3 кг каловых камней! Мягкая чистка кишечника дома (Стоит копейки).

Wilaya ya Mbeya Yapiga Marufuku Kilimo na Ukataji Miti Kwenye Vyanzo vya Maji

Wilaya ya Mbeya Yapiga Marufuku Kilimo na Ukataji Miti Kwenye Vyanzo vya Maji

Mradi wa Barabara Mlima Nyoka Wamfikisha MCC ASAS, Ataka Kero za Wananchi Zitokomee

Mradi wa Barabara Mlima Nyoka Wamfikisha MCC ASAS, Ataka Kero za Wananchi Zitokomee

DAS Mbeya: Kipato Kisiharibu Vyanzo vya Maji

DAS Mbeya: Kipato Kisiharibu Vyanzo vya Maji

EPISODE 19: SHAHIDI WA SIRI ADAI KUCHANGANYIKIWA ABANWA VIBAYA NA TUNDU LISSU

EPISODE 19: SHAHIDI WA SIRI ADAI KUCHANGANYIKIWA ABANWA VIBAYA NA TUNDU LISSU " CROSS EXAMINATION

Санду ЗАПУСТИЛА деоккупацию! Приднестровье ВОЗВРАЩАЕТСЯ домой. Крах

Санду ЗАПУСТИЛА деоккупацию! Приднестровье ВОЗВРАЩАЕТСЯ домой. Крах "русского мира" во всей красе

Kardiolog: 'MILIONY UMIERAJĄ Robiąc TO Każdego Ranka' | NAGŁA ŚMIERĆ u Starszych Osób

Kardiolog: 'MILIONY UMIERAJĄ Robiąc TO Każdego Ranka' | NAGŁA ŚMIERĆ u Starszych Osób

Mfanyabiashara Mbeya 'Amvunja Mbavu' Rais Magufuli

Mfanyabiashara Mbeya 'Amvunja Mbavu' Rais Magufuli

MCHINA AUZIWA ENEO LAKE WAKIDHANI AMEFARIKI KWA KORONA - WAZIRI SILAA AMKAMATA ALIYEUZA - AJITETEA!

MCHINA AUZIWA ENEO LAKE WAKIDHANI AMEFARIKI KWA KORONA - WAZIRI SILAA AMKAMATA ALIYEUZA - AJITETEA!

Запрещенная страна! Кому выгодна Северная Корея и как она выживает?

Запрещенная страна! Кому выгодна Северная Корея и как она выживает?

LISSU AMTWANGA VIKALI SHAHIDI BILA HURUMA, WAKILI WA LISSU NAE ACHARUKA VIKALI, ATOA KIBANO KIZITO

LISSU AMTWANGA VIKALI SHAHIDI BILA HURUMA, WAKILI WA LISSU NAE ACHARUKA VIKALI, ATOA KIBANO KIZITO

Срочное обращение военных / Москве поставлены условия

Срочное обращение военных / Москве поставлены условия

AMBOKILE: SIMBA BADO SANA! USHINDI WA MBELEKO, ARAJIGA AMEFANYA MAKOSA| DABI MACHI MOSI YANGA BINGWA

AMBOKILE: SIMBA BADO SANA! USHINDI WA MBELEKO, ARAJIGA AMEFANYA MAKOSA| DABI MACHI MOSI YANGA BINGWA

Bloomberg: Трамп склонил чашу весов в пользу Москвы - ответ Украины будет 15 мая /№1092/ Юрий Швец

Bloomberg: Трамп склонил чашу весов в пользу Москвы - ответ Украины будет 15 мая /№1092/ Юрий Швец

Wawekezaji wawili watunushiana misuli wakigombea kitalu cha dhahabu Ifumbo Chunya

Wawekezaji wawili watunushiana misuli wakigombea kitalu cha dhahabu Ifumbo Chunya

Ifahamu KYELA, Tazama ilivyoendelea sasa ni BALAA

Ifahamu KYELA, Tazama ilivyoendelea sasa ni BALAA

Msafara Wasimama Soweto, Mbunge Mwalunenge Aamuru TANROADS Kuondoa Dimbwi la Miaka 3 Mara Moja

Msafara Wasimama Soweto, Mbunge Mwalunenge Aamuru TANROADS Kuondoa Dimbwi la Miaka 3 Mara Moja

MJANE MTATA AMKOMALIA WAZIRI SLAA SOMA HAPA UNIAMBIE UNAONAJE, NMEJUA WAZIRI UMEKUJA UTAONGEA MAMB..

MJANE MTATA AMKOMALIA WAZIRI SLAA SOMA HAPA UNIAMBIE UNAONAJE, NMEJUA WAZIRI UMEKUJA UTAONGEA MAMB..

Tổng bí thư Tô Lâm công du Hoa Kỳ; Trung Quốc diệt quan tham, Mỹ thừa nước đục thả câu | Tin nóng

Tổng bí thư Tô Lâm công du Hoa Kỳ; Trung Quốc diệt quan tham, Mỹ thừa nước đục thả câu | Tin nóng

Наняв сиделку для больного сына, вдова заметила, что она слишком хорошо знает их дом и привычки

Наняв сиделку для больного сына, вдова заметила, что она слишком хорошо знает их дом и привычки

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]