Mikakati yawekwa kuongeza uzalishaji wa samaki, kupanua masoko ya nje
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2026-02-19
Просмотров: 64
Описание:
Wadau wa sekta ya uvuvi na ufugaji samaki, ikiwemo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Taasisi ya WorldFish wamekutana kujadili namna ya kuweka mikakati ya kuongeza uzalishaji wa samaki na vyakula vya majini ili kuiwezesha Tanzania kukidhi mahitaji ya soko la ndani na kunufaika zaidi na masoko ya kimataifa.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: