AGAPE CHOIR - NIFICHE (Official Video Song)
Автор: CASFETA MUCE
Загружено: 2021-11-16
Просмотров: 3617
Описание:
Nifiche ni moja ya wimbo katika Albamu iendayo kwa jina la "NJONI KWAKE YESU"
#Albamu hii ni albamu ya kwanza kwa kwaya hii ya Agape ambayo ni kwaya ya CASFETA chuo kikuu kishiriki cha elimu Mkwawa
#CASFETA MUCE tunayo furaha kuu kukukaribisha kutuunga mkono kwenye kazi hii mpya kwa kutazama, kushare na kusubscribe channel yetu ya CASFETAMUCE
#pia kwa wewe mtu wa Mungu ombea kazi hii iendelee na iguse maisha ya watu
#Mungu akubariki kwa kuwa sehemu ya mafanikio ya kazi hii.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: