Magoli yote sita | Yanga SC 6-0 Mashujaa FC | NBC Premier League 19/01/2026
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-01-20
Просмотров: 7436
Описание:
Yanga SC wametoa kichapo kizito kwa Mashujaa FC, wakiipiga mabao 6-0 kwenye Dimba la KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam...
Aliyefungua karamu ya mabao ni Mohamed Damaro Camara, akafuata Duke Abuya, kisha Pacome Zouzoua, la nne akafunga Prince Dube, akafuata Mudathir Yahya na la kufungia karamu akapiga Ovelha Negra, 'DEPU'
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: