ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

ufugaji wa kuku wenye tija.Jifunze njia 10 za kupunguza gharama ya chakula cha kuku

Автор: Shamba Darasa TV

Загружено: 2021-11-02

Просмотров: 9474

Описание: Jifunze Jinsi ya Kutengeneza Chakula Cha Kuku cha gharama nafuu
Vyakula vya kuku vinaweza kupatikana madukani au kutengenezwa na mfugaji mwenyewe. Ili kuku aweze kukua haraka na kutoa mazao mengi na bora ni lazima chakula kitengenezwe katika mchanganyiko wenye uwiano mzuri uliopendekezwa. Chakula hicho lazima kiwe na viinilishe muhimu kama vile protini, wanga, madini na vitamini. Hakikisha chakula unachotengeneza kina mchanganyiko wa vyakula vifuatavyo:

· Vyakula vya kujenga mwili kama vile jamii ya kunde, samaki, dagaa, mashudu ya ufuta, pamba na alizeti.

· Vyakula vya kulinda na kukinga mwili usipate maradhi kama vile mafuta ya samaki na majani mabichi kama kabichi, michicha, majani ya mpapai na nyasi mbichi.

· Vyakula vinavyojenga mifupa kama vile aina ya madini, chokaa, mifupa iliyosagwa na chumvi. Ukosefu wa vitamini na madini kama Kalsiamu na Fosforasi husababisha matege, kukunjamana kwa vidole, kufyatuka kwa misuli ya goti na kupofuka macho.

Maji ni muhimu sana kwani husaidia kulainisha na kurahisisha usagaji wa chakula, na kupunguzajoto. Wakati wajoto kali kuku wapewe maji mengi.

Kabla ya Kutengeneza Chakula Lazima Mtengenezaji Ajue haya Yafuatayo:-

· Jinsi ya kupata vyakula vya aina mbali mbali.

· Kiasi cha viinilishe vinavyohitajika kwa kuzingatia umri na aina tofauti ya kuku; kwa mfano vifaranga wanahitaji protini asilimia 18 hadi 22, kuku wanaokua asilimia 17 hadi 19 na kuku wa mayai asimilia 15 hadi 17. Vile vile madini aina ya Kalsiamu kiasi cha asilimia tatu hadi nne kinahitajika kwa kuku wa mayai na asilimia moja kwa kuku wa nyama na vifaranga.

· Viwango vya uchanganyaji wa aina za vyakula mbali mbali: Ili mtengenezaji aweze kutengeneza chakula bora ni muhimu afuate kiwango cha uchanganyaji kilichopendekezwa Kiasi cha aina moja ya chakula kinapozidi kinaweza kuleta madhara.

#mkulimasmart
#shambadarasa

JIFUNZE KANUNI YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA ...

UFUGAJI WA KUKU:Jinsi ya kuaandaa chakula cha kuku na ...

Uchanganyaji wa Chakula Cha Kuku wa Kienyeji - Kienyeji ...

Mkulima atengeneza chakula cha kuku kutoka kwa mayai ya Nzi

JINSI YA KUCHANGANYA CHAKULA CHA KUKU

NAMNA YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA KUKU-1

JINSI YA KUCHANGANYA CHAKULA CHA KUKU WA ...

Mchanganyiko wa Chakula cha kuku |

njia rahisi ya kutengeneza chakula cha kuku wako (layers na ...

Jinsi ya Kutengeneza Chakula Cha Kuku.
kutengeneza chakula cha kuku pdf
ratiba ya chakula cha kuku wa kienyeji
chakula cha kuku wa mayai
chakula cha kuku sasso
aina ya chakula cha kuku
chakula cha kuku kulingana na umri
chakula cha vifaranga wa kienyeji
bei ya chakula cha kuku

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
ufugaji wa kuku wenye tija.Jifunze njia 10 za kupunguza gharama ya chakula cha kuku

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Walishe Hivi Kuku Chotara Kuroiler na Sasso ili Wafikishe Kilo 5

Walishe Hivi Kuku Chotara Kuroiler na Sasso ili Wafikishe Kilo 5

KUKU WENYE THAMANI YA KUANZIA SHILINGI LAKI SABA

KUKU WENYE THAMANI YA KUANZIA SHILINGI LAKI SABA

CEO Girl Harvests Chickens and Guinea Fowl After 9 Months of Raising – Market Sells Out Fast

CEO Girl Harvests Chickens and Guinea Fowl After 9 Months of Raising – Market Sells Out Fast

Tips For Making Fermented Chicken Feed

Tips For Making Fermented Chicken Feed

Boiler kukhura palan January 6, 2026

Boiler kukhura palan January 6, 2026

Как кормить кур бесплатно круглый год: метод трёх систем, который скрывали от фермеров

Как кормить кур бесплатно круглый год: метод трёх систем, который скрывали от фермеров

😲Путин РЕЗКО ПОДНЯЛ ВСЕХ НОЧЬЮ: дикий ПРИКАЗ по “СВО”. Москва СРЫВАЕТ ПЕРЕГОВОРЫ. ШЕЙТЕЛЬМАН & ЮНУС

😲Путин РЕЗКО ПОДНЯЛ ВСЕХ НОЧЬЮ: дикий ПРИКАЗ по “СВО”. Москва СРЫВАЕТ ПЕРЕГОВОРЫ. ШЕЙТЕЛЬМАН & ЮНУС

Ngowi TV-NILIANZA NA KUKU 13 TU, SASA HIVI NINA TENGENEZA MILIONI MBILI KILA WIKI

Ngowi TV-NILIANZA NA KUKU 13 TU, SASA HIVI NINA TENGENEZA MILIONI MBILI KILA WIKI

UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI:jifunze vyakula mbali mbali vya kuku wa kienyeji

UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI:jifunze vyakula mbali mbali vya kuku wa kienyeji

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji kwa Njia ya Kisasa

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji kwa Njia ya Kisasa

Беременная Белая Медведица Постучала в Дверь Полярной Станции — Дальше Случилось Невероятное!

Беременная Белая Медведица Постучала в Дверь Полярной Станции — Дальше Случилось Невероятное!

Сумасшедший опрос!!! Россияне верят только телевизору! Почему война так затянулась? | Палата 200

Сумасшедший опрос!!! Россияне верят только телевизору! Почему война так затянулась? | Палата 200

Walishe hivi chotara wa nyama uwauze mapema|Formula ya chakula | CFP 5% |

Walishe hivi chotara wa nyama uwauze mapema|Formula ya chakula | CFP 5% |

Fahamu tofauti zilizopo kati ya kuku chotara aina ya Kuroiler na Sasso

Fahamu tofauti zilizopo kati ya kuku chotara aina ya Kuroiler na Sasso

NILIANZA NA KUKU 2 TU WA KIENYEJI - SASA HIVI NINA KUKU CHOTARA 500

NILIANZA NA KUKU 2 TU WA KIENYEJI - SASA HIVI NINA KUKU CHOTARA 500

⚡️ МИР ОТМЕНЯЕТСЯ: К ЧЕМУ ТЕПЕРЬ ГОТОВИТЬСЯ? | Разбор переговоров в Абу-Даби

⚡️ МИР ОТМЕНЯЕТСЯ: К ЧЕМУ ТЕПЕРЬ ГОТОВИТЬСЯ? | Разбор переговоров в Абу-Даби

SIRI YA KUPUNGUZA GHARAMA YA CHAKULA CHA MIFUGO KWA ASILIMIA 70(HATUA ZA KUANDAA)

SIRI YA KUPUNGUZA GHARAMA YA CHAKULA CHA MIFUGO KWA ASILIMIA 70(HATUA ZA KUANDAA)

Unbelievable! They Tried Growing Peanuts In The Desert - The Results Shocked Millions Of People

Unbelievable! They Tried Growing Peanuts In The Desert - The Results Shocked Millions Of People

Как индустрия убивает кур ради прибыли и почему старые породы спасут твое хозяйство

Как индустрия убивает кур ради прибыли и почему старые породы спасут твое хозяйство

ВРАЧИ БЫЛИ В ШОКЕ : ОТОМСТИЛА НАСИЛЬНИКАМ И ЗАБРАЛА ДОСТОИНСТВО!

ВРАЧИ БЫЛИ В ШОКЕ : ОТОМСТИЛА НАСИЛЬНИКАМ И ЗАБРАЛА ДОСТОИНСТВО!

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]