Wakili Wa Musikari Kombo Auawa
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2013-09-17
Просмотров: 1730
Описание: Mahakama kuu ya Machakos imeamuru kuwa gavana wa kaunti hiyo dkt. Alfred Mutua alichaguliwa kwa njia ya haki. Mpinzani wake katika kiti hicho Wavinya Ndeti alikuwa amewasilisha kesi hiyo akidai kuwa uchaguzi wa mutua ulikumbwa na ulaghai. Huku haya yakijiri wakili wa Musikari Kombo anayepinga kuchaguliwa kwa Seneta wa Bungoma Moses Wetangula aliuawa Jumanne asubuhi alipokuwa akirejea nyumbani kwake.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: