MWL JAMES KIDUMA - INUKA UANGAZE | ISAYA 60:1
Автор: Mwl James Kiduma
Загружено: 2026-01-02
Просмотров: 25
Описание:
“Ondoka, uangaze; kwa kuwa nuru yako imekuja, Na utukufu wa BWANA umekuzukia.” — Isaya 60:1
Ujumbe huu wa Isaya 60:1 ni mwito wa kiroho kwa mwamini kuinuka kutoka katika hali ya giza, kukataa kukaa chini, na kukubali nuru ya Kristo izuke juu yake. Ni tangazo la mwanzo mpya, nguvu mpya, na utukufu wa BWANA unaoonekana juu ya maisha ya wale wanaomwamini. Pale ambapo giza lilitawala, sasa nuru ya Mungu inang’aa, ikikuita utembee katika kusudi, ujasiri, na ushindi aliouweka tayari kwa ajili yako.
Usisahau:
Kusubscribe kwa mafundisho ya kila wiki, Kulike video ikiwa imekugusa
Kushare na wengine ili ujumbe huu uwafikie wengi
Follow us kwa ujumbe wa kila siku wa kiroho na mashairi ya kutia moyo:
Instagram | Facebook | TikTok: @mwl.james.kiduma
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: