Hii Ni Marekani Usiyooneshwa Kwenye Tv | The America You Won't See On Tv...HUKU YUES
Автор: Jacchalz
Загружено: 2022-12-17
Просмотров: 959371
Описание:
Nilitembelea mtaa unaitwa Skid Row uliopo Downtown Los Angeles. Skid Row ni mtaa ambao una idadi kubwa ya Homeless (watu wasio na makazi). Yote hayo yamechangiwa na hali ngumu ya maisha, madawa ya kulevya, matatizo ya akili n.k. Tembea na mimi ujionee yaliyojiri Skid Row, Los Angeles. Pia, nipe MAONI yako kuhusiana na hilo, And let me know which streets you'd like me to tour next.
Also, Please SUBSCRIBE so that you won't miss any new uploads, Thank you for watching!
🔸FOLLOW ME ON;
INSTAGRAM: / jacchalz
#hukuyues #losangeles #mtaani
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: