HAYA NDIO MATUKIO YA AJABU & UTUKUTU YA BALOTELI YALIYOSABABISHA AKATENGWA
Автор: Wasafi Media
Загружено: 2020-06-17
Просмотров: 799460
Описание:
Mario Balotelli @mb459 UTUKUTU WAKE KWENYE SOKA
@ahmedabdallah05 anasema Asiyesikia la Mkuu huvunjika Guu na yote hii ni kuwataka vijana wanaofanya mambo ya ajabu kufuata mstari ulionyooka kimaadili na maisha ya kila siku
Leo anakuchambulia Kisa cha Ukweli cha Kusisimua cha Muitaliano "SUPER" MARIO BALOTELLI Tangu alipoanza kusumbua kwenye soka na kipi kilichomfanya apotee katika ramani ya mastaa ambao wanafanya vizuri zaidi mpaka leo katika kandanda
S/o Mwandishi @kasangasports
UNAWEZA KUITAZAMA MAKALA HII NA KUDONDOSHA COMMENT YAKO HAPA CHINI NI MCHEZO GANI WA MARIO BALOTELLI AMBAO MPAKA LEO UNAUKUMBUKA ZAIDI
@wasafisports #WasafiSports #HiiNiYetuSote #MarioBalotelli
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: