DURU ZETU ALASIRI: DC GEITA- MADAWATI YA MALALAMIKO YAIMARISHWE, TRUMP KUMALIZA VITA | 12.03.2026
Автор: Kwizera TV
Загружено: 2026-03-12
Просмотров: 91
Описание:
DURU ZETU ALASIRI: Habari kuu jioni ya leo kitaifa, kimataifa, Ujumbe pitia Waza Wazua, Uchumi na biashara pamoja na na Dondoo za Michezo bila kusahau maoni yako kupitia 0710 977 977
Tuliyonayo alasiri ya leo.……
Mkuu wa Wilaya ya Geita aagiza kuimarishwa madawati ya malalamiko kila Kata ili wananchi kuwasilisha changamoto zao kiurahisi.
Tume ya tathmini matumizi ya ardhi Ngorongoro yasema matumizi mseto ya ardhi Hifadhi ya Ngorongoro umeleta mafanikio katika sekta ya utalii.
NA
Rais wa Marekni Donald Trump asema akitaka vita viishe, vitamalizika
#rkduruhabari #radiokwizera #2026aminia
__________________________________________
Radio Kwizera Ngara Kagera Tanzania | Unaweza kuisikiliza Radio Kwizera kwa masafa mbalimbali: 97.7 KAGERA, MWANZA & GEITA | 93.7 KIGOMA | 89.5 SHINYANGA
Unaweza kusikiliza kwa njia ya mtandao kwa kubofya link hapo chini https://radiokwizera.co.tz/
LIKE | FOLLOW | SUBSCRIBE | COMMENT | SHARE
© All Rights Reserved to JRS Radio Kwizera 1995-2026
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: