ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha yatoa Milioni 420 ya Mapato ya Ndani Kutengeneza Barabara za mitaa

Автор: Kibaha Municipal Online TV

Загружено: 2025-10-03

Просмотров: 174

Описание: Manispaa ya Kibaha imetoa Tsh Milioni 420 Kutatua Changamoto ya Barabara za Mitaa
KIBAHA: Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha imetoa jumla ya Shilingi Milioni 420 kupitia mapato ya ndani kwa ajili ya kutengeneza na kufungua barabara za mitaa katika kata zote za manispaa hiyo, ikiwa ni hatua ya kutatua changamoto ya ya miundombinu ya barabara.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kibaha, Dkt. Rogers Shemwelekwa, amesema Tayari kata zote Manispaa ya Kibaha zimepokea mgao wa Shilingi Milioni 30 Kwa ajili ya kutekeleza miradi ya uboreshaji wa barabara ili kurahisisha huduma mbalimbali kwa wananchi.
“Kupitia mapato yetu ya ndani, tumeamua kuwekeza katika barabara za mitaa kwa kuwa ni muhimu kwa maisha ya kila siku ya wananchi. Kila kata sasa ina Shilingi Milioni 30 kwa ajili ya miradi hii na tutaendelea kusimamia utekelezaji wake kwa karibu,” amesema Dkt. Shemwelekwa.
Katika Kata ya Sofu, wananchi wameipokea kwa furaha hatua hiyo na wamepongeza uongozi wa Manispaa kwa kutoa fedha hizo kwa ajili ya kutatua kero ya barabara.
Akizungumza kwa niaba ya wananchi, Mwenyekiti wa Mtaa wa Twendepamoja Mhe Idd Alfan amesema, “Wananchi wamehamasika sana kuona kodi wanazotoa zinatumika moja kwa moja kuboresha maisha yao. Mradi huu umewapa motisha zaidi ya kulipa kodi kwa hiari kwa sababu wanaona matokeo yake.”
Mwananchi wa Kata hiyo, Bi. Deborah Mkoma, amesema barabara zinazotengenezwa ni muhimu sana kwa kuwa zinapitika kuelekea hospitalini na maeneo mengine ya huduma muhimu.
“Kuna sehemu magari yalikuwa hayawezi kufika kabisa kutokana na ubovu wa barabara, lakini sasa hata bodaboda wanafika bila shida na kwa bei nafuu. Tunampongeza sana Mkurugenzi kwa juhudi zake,” alisema Bi. Mkoma.
Wananchi wa Manispaa ya Kibaha kwa ujumla wameonyesha matumaini makubwa kuwa mradi huu utaleta mabadiliko makubwa katika maisha yao ya kila siku na wameahidi kuendelea kushirikiana na Halmashauri kuhakikisha miradi hiyo inatekelezwa kwa ufanisi.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha yatoa Milioni 420 ya Mapato ya Ndani Kutengeneza Barabara za mitaa

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Эти 5 орехов разрушают почки, а 4 могут спасти от почечной недостаточности | ПАМЯТЬ И МОЗГ

Эти 5 орехов разрушают почки, а 4 могут спасти от почечной недостаточности | ПАМЯТЬ И МОЗГ

⚡️АСЛАНЯН: Зеленский РАЗНЕС Лукашенко ПРИ ВСЕХ. Такого поворота НИКТО НЕ ОЖИДАЛ. Удар по Беларуси

⚡️АСЛАНЯН: Зеленский РАЗНЕС Лукашенко ПРИ ВСЕХ. Такого поворота НИКТО НЕ ОЖИДАЛ. Удар по Беларуси

MUBASHARA HAFLA UGAWAJI MADAWATI 4000, THAMANI YA MILIONI 400, MAPATO YA NDANI MANISPAA YA KIBAHA

MUBASHARA HAFLA UGAWAJI MADAWATI 4000, THAMANI YA MILIONI 400, MAPATO YA NDANI MANISPAA YA KIBAHA

Друг Путина убит? / Обвинения в подготовке госпереворота

Друг Путина убит? / Обвинения в подготовке госпереворота

PART 1; MTAZANIA MSOMI ZAIDI/HILI NDILO KABURI LANGU/NIMEIMBA NA MKE WA KIKWETE

PART 1; MTAZANIA MSOMI ZAIDI/HILI NDILO KABURI LANGU/NIMEIMBA NA MKE WA KIKWETE

Почему зарядка после 60 ускоряет потерю мышц? Парадокс сардинских долгожителей | ЗДОРОВЬЕ ДАРОМ

Почему зарядка после 60 ускоряет потерю мышц? Парадокс сардинских долгожителей | ЗДОРОВЬЕ ДАРОМ

TANROADS YATEKELEZA AGIZO LA BASHUNGWA, YAFUNGA MIZANI KUPIMA UZITO WA MAGARI - TUNDUMA

TANROADS YATEKELEZA AGIZO LA BASHUNGWA, YAFUNGA MIZANI KUPIMA UZITO WA MAGARI - TUNDUMA

wananchi wa Manispaa ya Kibaha wanasemaje kuhusu Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Miradi ya MAENDELEO

wananchi wa Manispaa ya Kibaha wanasemaje kuhusu Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Miradi ya MAENDELEO

Ni zaidi ya Kishindo cha Wakoma🔥, Makonda Akimpokea Samia Arusha Mjini

Ni zaidi ya Kishindo cha Wakoma🔥, Makonda Akimpokea Samia Arusha Mjini

POLISI MWANZA INAWASAKA WALIOHUSIKA KUPIGA HADI KUWAUA WALIODAIWA KUWA WEZI | DCP MUTAFUNGWA

POLISI MWANZA INAWASAKA WALIOHUSIKA KUPIGA HADI KUWAUA WALIODAIWA KUWA WEZI | DCP MUTAFUNGWA

Почки скажут вам: всего 1 стакан перед сном и ночные походы в туалет исчезнут | ПАМЯТЬ И МОЗГ

Почки скажут вам: всего 1 стакан перед сном и ночные походы в туалет исчезнут | ПАМЯТЬ И МОЗГ

Le gouverneur ai venance mutombo  inspecte l usine de captage d eau de lovoy

Le gouverneur ai venance mutombo inspecte l usine de captage d eau de lovoy

Самые Нелепые Ошибки Рабочих, Снятые на Камеру

Самые Нелепые Ошибки Рабочих, Снятые на Камеру

Reviving a Forgotten Pallet Jack Buried Under Bricks and Scrap Metal – The Result Is Unbelievable!

Reviving a Forgotten Pallet Jack Buried Under Bricks and Scrap Metal – The Result Is Unbelievable!

MAKALA YA MIAKA 25 YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA

MAKALA YA MIAKA 25 YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA

🔥КАСПАРОВ поразил ПРОГНОЗОМ по концу ВОЙНЫ! Этот МОМЕНТ ВСЕ ИЗМЕНИТ: назвал главный КОЗЫРЬ Украины

🔥КАСПАРОВ поразил ПРОГНОЗОМ по концу ВОЙНЫ! Этот МОМЕНТ ВСЕ ИЗМЕНИТ: назвал главный КОЗЫРЬ Украины

TUNAWATAKIA WANACHI WOTE HERI YA KRISMASS NA MWAKA MPYA

TUNAWATAKIA WANACHI WOTE HERI YA KRISMASS NA MWAKA MPYA

Wananchi Kibaha wampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Miradi ya Maendeleo Kibaha

Wananchi Kibaha wampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Miradi ya Maendeleo Kibaha

Makonda Ayasema Aliyoficha Moyoni kwa Muda Mrefu Mbele ya Dkt. Samia Arusha Mjini

Makonda Ayasema Aliyoficha Moyoni kwa Muda Mrefu Mbele ya Dkt. Samia Arusha Mjini

Ten refren rozwali każdą imprezę w 2026!

Ten refren rozwali każdą imprezę w 2026!

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]