JE MUME KUMCHOKA MKE YAFAA KUMUACHA?
Автор: Kishki Online TV
Загружено: 2020-09-29
Просмотров: 12669
Описание: Mada hii ni swali lililoulizwa katika kipindi cha Fadhakkir kinafanyika kila siku ya Ijumaa ndani ya Studio za Kishk Tv, na hili swali ilikuwa kipindi cha Tarehe 25/9/2020 ili kuipata Mada kamili fatilia mada yenye anuani hii MASHARTI 5 YA KUKUBALIKA KWA NDOA, inshallah tuendelee kuelimika pia tunaomba msambaze link ya mada zetu mbalimbali na Allah atawalipa kusambaza mambo ya kheir.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: