Nyota zenye Asili ya Maji na Udongo HUENDANA. Zijue nyota hizo na HERUFI za MAJINA HAYO -S01EP35
Автор: Utabiri Wa Nyota
Загружено: 2018-04-16
Просмотров: 80184
Описание:
Nyota zenye asili ya Udongo na Maji huendana kimapenzi kwa sababu nyingi tofauti.
Mnajimu Kuluthum anatueleza jinsi Nyota yako inavyoweza kukusaidia katika maamuzi haya.
Kama kawaida, usisite kutuachia maswali yako.
Kujua Nyota yako kabla ya kufungua biashara yako ni muhimu sana. Kama unamaswali utatupigia simu au tuachie comment hapo chini.
Tembelea Facebook account / utabiriwanyota
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: