KIPINDI: Familia ya Baba na Mama waliozaa watoto watatu wenye ulemavu wanahitaji msaada - 0654596412
Автор: Tanzania Kids Time
Загружено: 2025-05-13
Просмотров: 11982
Описание:
Tanzania Kids Time baada ya kupokea taarifa kutoka katika vyanzo vyetu, tumeifikia Familia Jasiri ya Muharami Omari Mapanga na Zainabu Omari wanaoishi Mtaa wa Tushikamane Kata ya Lukobe Mjini Morogoro, wamezaa watoto watano huku watatu wakiwa na Ulemavu wa viungo changamoto zao ni nyingi na wanahitaji zaidi ya msaada.
#gwajima #tanzania #mahitajimaalumu #school #disability
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: