Anastacia Muema- Ni Upendo Tu (Official Video)
Автор: Anastacia Muema
Загружено: 2023-01-14
Просмотров: 902155
Описание:
Karibu kusikiliza na kutazama wimbo huu unaoitwa NI UPENDO TU. wimbo huu umetungwa na Angelo Kitosi.
Audio na Video vimefanywa na RAJO Productions.
Back Vocals-JKUAT CATCOM students(KMRM).
Liturgical Dance- Assumption of Mary Parish-Umoja.
Yote tuliyonayo maishani tumeyapata sio kwasababu tunastahili, bali ni kwa Upendo wa Mungu.
Tuzidi kubarikiwa tunaposikiliza na kutazama wimbo huu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: