JINSI YA KUOKA KUKU MKAVU WA MAZIWA MALA (MARINATED BAKED CHICKEN)WITH ENGLISH SUBTITLES
Автор: farwat's kitchen
Загружено: 2019-10-08
Просмотров: 3310
Описание:
Link ya website http://farwat.co.ke/2019/11/19/jinsi-...
Mmmh! Je ushawahi kukutana na mtu asiyependa kuku? Bila shaka ni tukizi sana kukutana na mtu huyo. Kuku ni chakula kinachopendwa na wengi kote ulimwenguni. Kuku akichemshwa tu na maji na chumvi analika seuze akipikwa kwa madoido na mbwembwe. Si ajabu wenzetu kutoka magharibi mwa kenya wakawa maashiki wakuu wa kuku😅Waluhya mpo? Basi leo katika video yangu nimewaletea mapishi haya ya kuku ambayo kwamba ni rahisi na mazuri sana. Tazama video mpaka mwisho kisha tafadhali bonyeza alama ilioandikwa subscribe hapo chini.
Nyama kavu • JINSI YA KUPIKA NYAMA KAVU
Instagram@ / farwats_kitchen
Facebook@ / farwats-kitchen-2266317120311085
Email; [email protected]
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: