E/HABARI MARCH 05 - WANANCHI ZAIDI YA 11,000 KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME WA JUA USHETU
Автор: EFM TANZANIA
Загружено: 2026-03-06
Просмотров: 58
Описание:
MRADI wa nishati ya jua uliopo katika kijiji cha Kayenze, Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu mkoani Shinyanga, umetajwa kuleta manufaa kwa wananchi zaidi ya 11,000, kutokana na kutoa umeme wa uhakika kwa wakazi wa maeneo hayo.
Baadhi ya manufaa yaliyotajwa ni pamoja na kuongeza nguvu katika gridi ya taifa, kupunguza uchafuzi wa mazingira pamoja na kutoa ajira kwa vijana wa eneo hilo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: