MBUNGE ACHUKUA HATUA SHIMO HATARISHI KAGERA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2026-02-25
Просмотров: 174
Описание:
KAGERA: WADAU wa maendeleo kwa kushirikiana na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Johnstone Mtasingwa, wameliziba shimo kubwa lililokuwa katikati ya Barabara ya Kasarani Buyekele kwa kumwaga kifusi, siku chache baada ya vyombo vya habari kuripoti changamoto hiyo.
Wananchi wamepongeza hatua hiyo wakisema imerejesha hali ya usalama na urahisi wa usafiri.
Mbunge huyo amesema barabara hiyo itatekelezwa kwa kiwango bora kupitia mradi wa TACTICS, ambapo mkandarasi tayari ameanza kazi.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: