NBC Tanzania | NBC Yazindua Hati Fungani ya NBC Twiga Bond,kuwainua wajasiriamali na wadau wa kilimo
Автор: NBC TANZANIA
Загружено: 2022-11-01
Просмотров: 978
Описание:
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC ) imetangaza utoaji wa Hati fungani (bondi) ya miaka mitano inayofahamika kama Hati fungani ya NBC Twiga bond, ikilenga kuuza hati fungani zenye thamani ya Tsh Bilioni 30, kwa ajili ya kupanua uwezeshaji (mikopo) wa bei nafuu kwa Wafanyabiashara wadogo na wa kati, Sekta ndogo na Kilimo nchini.
Kiasi cha chini cha ununuzi wa hati fungani hiyo ni TZS 500,000 na inaweza kununuliwa kutoka tawi lolote la Benki ya NBC, au Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana(CMSA) wenye leseni ya udalali.
#NBCTwigaBond #DaimaKaribuNawe
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: