KWA NINI Mahakama Kuu imekataa Kesi ya Kupinga Tume ya Rais kuhusu Uchaguzi Mkuu Tanzania 2025
Автор: HARAKATI TV
Загружено: 2026-03-14
Просмотров: 4987
Описание:
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imetoa uamuzi muhimu kuhusu Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Katika uamuzi uliotolewa Ijumaa Machi 13, 2026, Jaji Awamu Mbagwa ametupilia mbali shauri lililofunguliwa na wanaharakati wa haki za binadamu waliokuwa wanapinga uhalali wa tume hiyo. Mahakama imeeleza kuwa hoja za wadai hazikuwa na msingi wa kisheria bali ziliegemea zaidi kwenye hisia.
Hata hivyo, baada ya uamuzi huo, wadai wameeleza kutoridhishwa na hukumu hiyo na wametangaza kuwa watakata rufaa kupinga uamuzi wa mahakama.
Katika video hii tunafanya uchambuzi wa kina kuhusu:
Sababu za Mahakama Kuu kutupa kesi hiyo
Hoja zilizowasilishwa na wanaharakati mahakamani
Msimamo wa mawakili na wadau mbalimbali
Athari za uamuzi huu katika siasa za Tanzania
Je, uamuzi huu una maana gani kwa mjadala wa kisiasa kuhusu uchaguzi wa 2025 nchini Tanzania?
Karibu HARAKATI TV, mahali ambapo unapata habari za siasa Tanzania zinazochambuliwa kwa kina, mjadala wa kisiasa, na uchambuzi wa matukio yanayoshughulisha nchi. Tunaleta habari za Tanzania leo, breaking news Tanzania, na taarifa muhimu kutoka bunge la Tanzania, viongozi wa serikali, na vyama vya siasa kama CCM, CHADEMA, ACT Wazalendo.
Hapa, utapata kauli za wanasiasa, mjadala mitandaoni Tanzania, na uchambuzi wa hotuba unaokupa mwanga juu ya migogoro ya kisiasa, siasa za uchaguzi Tanzania, na mwelekeo wa siasa za nchi. Tunaangazia pia political commentary Tanzania, Tanzania political analysis, na Tanzania news analysis ili kukusaidia kuelewa matukio yote muhimu ya kisiasa nchini.
Subscribe ili usikose breaking political news, habari za kisiasa leo, na uchambuzi wa kina wa Tanzania politics today. Jiunge nasi kwenye mjadala wa kisiasa, toa maoni yako, na uwe sehemu ya jamii ya watu wanaopenda siasa Tanzania.
🔔 SUBSCRIBE / @harakatitv
#siasatanzania #PoliticalAnalysis #TanzaniaPolitics #ccm #chadema #tundulissu #HabariZaSiasa #breakingnews
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
📧 Wasiliana nasi: [ [email protected] ]
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
News Theme 1 by Audionautix is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 license. https://creativecommons.org/licenses/...
Artist: http://audionautix.com/
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: