HOTUBA YA JAJI MKUU PROF IBRAHIM JUMA
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-02-01
Просмотров: 4458
Описание:
LIVE: HOTUBA YA JAJI MKUU PROF IBRAHIM JUMA
Ni hotuba ya jaji mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, katika maadhimisho ya siku ya sheria nchini, ambapo mgeni rasmi katika hafla hiyo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Joh Pombe Magufuli.
Katika hotuba yake Jaji mkuu, amewasilisha kwa rais changamoto zinazoikabili mahakama ikiwa ni pamoja na uhaba wa vitendea kazi.
Subscribe muda huu / uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: