MUHIMBILI WATIMIZA AGIZO la RAIS SAMIA - WATOA MATIBABU BURE kwa WANANCHI KILOSA...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-03-11
Просмотров: 302
Описание:
MUHIMBILI WATIMIZA AGIZO la RAIS SAMIA - WATOA MATIBABU BURE kwa WANANCHI KILOSA...
Katika kuhitimisha siku mia za uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye alielekeze huduma za matibabu ziwafikie wananchi popote walipo Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Delilah Kimambo, ameendelea kuwa kiongozi wa mfano kwa kusimamia na kutekeleza maagizo hayo kwa kufanya kambi maeneo mbalimbali nchini ambapo kwa sasa kambi hiyo imetia nanga Wilayani kilosa.
Kambi hiyo ya uchunguzi na matibabu ya kibingwa bobezi inayofanywa na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushirikian na Vodacom Foundation Tanzania imeanza leo machi 10, 2026 ambapo huduma za uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi na matiti, saratani ya tezi dume, magonjwa ya uzazi na kina mama, masikio, pua,koo meno na magonjwa ya watoto zinafanyika bila malipo.
@Ḧ̇D
=================================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: