Jigi Voice - Huyu (Official audio lyric)
Автор: Jigi Voice
Загружено: 2025-12-11
Просмотров: 135
Описание:
Call me Jigi Voice
hyy
nimepata mwendani
twaendana kweli
nampenda walahi
kumwacha sidhani
nimemweka moyoni
pekee yake tuh
kifuani alale
kama mtoto
haya mapenzi
yamenifika wapi
mwenzako napagawa sijui niko wapi
haya mapenzi
yamenifika wapi
mwenzenu napagawa sijui niko wapi
CHORUS
huyu huyu huyu, hyy
ndiye sababu
huyu, kweli
ndiye sababu
huyu huyu huyu, hyy
ndiye sababu
huyu, kweli
ndiye sababu
MUSIC
uzuri wake nimfananishe na nani
uzuri wake mfano wa malaika
ananitunza vyema na mapenzi hatari
utamu kolea huyu mi simwachi
haya mapenzi
yamenifika wapi
mwenzako napagawa sijui niko wapi
haya mapenzi
yamenifika wapi
mwenzenu napagawa sijui niko wapi
CHORUS
huyu huyu huyu, hyy
ndiye sababu
huyu, kweli
ndiye sababu
huyu huyu huyu, hyy
ndiye sababu
huyu, kweli
ndiye sababu
MUSIC
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: